Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama isahara ya kuweka
jiwe la Msingi madrasatul Tarblat Islamia iliyopo Kidoti Jimbo la
Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
Baadhi ya Wanafunzi wa madrasatul Tarblat
Islamia,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao baada ya kuwawekea
jiwe la msingi madrasa yao leo huko Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa
Kaskazini Unguja,leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi wa
madrasatul Tarblat Islamia, ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa
Kaskazini Unguja,baada ya kuwawekea jiwe la msingi madrasa hiyo
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment