picha na Martin kabemba.
Mfanyakazi wa benki ya FBME tawi la zanzibar, Abubakar saleh (kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa bi mizaNyange huko Tumbatu jana. Msaada huo umetolewa na benki hiyo.
Wandishi wa habari kutoka ZBC Television Zanzibar, Saleh Masoud (kushoto) Abdalla Masangu wa Zanzibar leo na Munir Zakaria wa Chanel Ten (kulia) wakiwa katika msafara wa kutembelea kisiwa kidogo cha Tumbatu kutoa msaada wa sadaka pamoja na benki ya FBME tawi la zanzibar jana.
Picha na Marti kabemba
No comments:
Post a Comment