Msimu wa Utalii ukiwa ukipamba moto katika mitaa ya Mji wa Zanzibar kwa watalii wa Mataifa mbalimbali wakitembelea Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar na Vivutio vyengine vya Kitalii katika Kisiwa cha Zenj. Kama wanavyoonekana Watalii hawa wakiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wakiwa katika shughuli za Kitalii.
Elimu : Bajeti za Elimu Zisipuuzwe wakati wa misukosuko ya Kiuchumi na
Kisiasa Duniani - Kikwete na Malala Waonya.
-
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel,
Malala Yousafzai, wameonya juu ya mwenendo hatarishi duniani wa kupunguza
au ku...
1 hour ago
Hili ni jambojema znz, lakini pia nijambo la kusikitisha mapato yanayo tokana na utalii hayaineemeshi znz kwakuwa ina viongozi walafi au wazembe,tukija kwenye kodi wawekezaji wakigeni wanashirikanna na wanyeji kukwepa kodi kamishin ya utlii kimmwya wao kubwa kupipata katika vijumba vya kulala wa geni vinomilikiwa na wazalendo kuwakamua.Tunomba wajirekebishe utalii uwanufaishe waznzibari wote
ReplyDelete