Habari za Punde

Ajali Barabara ya Malindi


Mpanda vespa akiangalia chombo chake baada ya kugongwa kwa nyuma na gari aina ya SUZUKI, katika maeneo ya barabara ya malindi kwenye mataa, katika ajali hiyo iliyokutanisha gari yenye namba za usajili Z 497 AM, na Vespa yenye namba za usajili Z 417 AA, katika ajali hiyo mpanda vespa amepata majaraha ya kuchunika, kama anavyoonekana pichani mpanda vespa huyo mwenye fulana ya kijanin akiiangalia vespa yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.