Baadhi ya Wananchi na wanachama Chama cha Mapinduzi
walioalikwa katika hafla ya Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa
Kusini Unguja iliyofanyika jana katika Hoteli ya Karafuu,Michamvi
Wialaya ya Kati
Viongozi wa Chama na Wananchi mbali mbali walioalikwa katika
Uchangiaji wa Fedha kwa CCM Mkoa wa Kusini Unguja,wakiwa katika hafla
hiyo iliyofanyika jana katika Hoteli ya Karafuu,Michamvi Wilaya ya
Kati
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Mohamed Raza
Daramsi,akiimba wimbo usemao “Mpewa hapokonyeki” wakati kikundi cha
Culture Muzicul Club kilipocharaza ala zake jana katika hafla ya
Harambee ya kuchangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja huko
Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi
Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Milioni Moja katibu wa Kikundi
cha Culture Muzical Club Said Mwinychande,wakati wa hafla ya Harambee
ya kuchangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja huko Karafuu
Hotel Michamvi Wilaya ya Kati
Mbunge wa Jimbo la Muyuni Mahadhi Juma,(kulia)akionesha
Cheti alichokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,(katikati)kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Benard Membe,kwa mchango wake alioutoa kwa Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini katika hafla ya Harambee iliyofanyika jana
Karafuu Hotel Michamvi,Wilaya ya Kati (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Kati
Vuai Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akimakabidhi Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa Mkoa wa
Kusini Unguja Jafar Sanya,cheti kwa kukichangia chama cha Mapinduzi
katika hafla iliyofanyika huko Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea fedha tasilim shingi za Kitanzania Milioni Moja kutoka kwa Mohamed Naushad,wakati wa Hafla ya kukichangia Chama cha mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,huko katika Hoteli ya Karafuu Michamvi Wilaya ya Kati jana
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh,alipokuwa akitoa kauli ya kuchangia Shilingi Milioni Moja wakati wa Hafla ya kukichangia Chama cha mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,huko katika Hoteli ya Karafuu Michamvi Wilaya ya Kati jana
Kamanda wa UVCCM (M) Misungwi John Buyamba,akionesha
picha baada ya kuinuua kwa Shilingi Milioni Moja fedha za Kitanzania
katika hafla ya kuchangia Chama cha Mpainduzi Mkoa wa Kusini
Unguja,iliyofannyika jana Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati,(kulia
Mkuu wa Wilaya ya Kati Vuai Mwinyi
.[Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Harambee ya kukichangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,huko Karafuu Hotel Michamvi Wi laya ya Kati jana,katika hotuba yake aliwashukuru Viongozi na wananchi kwa kuonesha moyo wao wa kujitolea katika chama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiwa katika picha ya pamoja na Kikundi cha Culture musical Club,jana baada ya kumalizika kwa hafla ya Harambee ya kuchangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja huko Karafii Hotel Michamvi Wialaya ya KatiPicha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment