Habari za Punde

Dk Shein aagana na Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,baada ya mazungumzo yao leo,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  kumuaga Rais,akiwa amemaliza  muda wake wa kazi
Nchini. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.