Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Omar Yussuf Mzee,kuwa Waziri wa
Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi
Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana
Wanawake na Watoto
Zainab Omar Mohamed,(kushoto) Waziri Machano Omar Saidi,na Waziri Haji
Faki Shaali,(hawana Wizara maalum) na Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano Rashid Seif,(kulia) wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar kushuhudia kuapishwa kwa Omar Yussuf Mzee kuwa Waziri
wa Fedha, leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha Omar Yussuf Mzee,baada ya
kumuapisha kuwa Waziri wa Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment