Habari za Punde

Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar Chipukizi na Mafunzo Imeshinda 3--2

 
 Beki wa timu ya Chipukizi Ali Mohameed , akiokoa mpira galini kwake na huku mshambuliaji wa timu ya Mafunzo Juma Othman kulia akijirabi kumzuiya wakati wa mchezo wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa Mao tmu ya Mafunzo imeshinda 3--2.
Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo Juma Othman akifunga goli la pili kwa timu yake kwa kichwa mpira, huku walinzi wa timu ya Chipukizi wakimshindikiza kwa macho bila ya mafanikio ya kuokoa mpira huo. 
                                Beki wa timu ya Chipukizi  akiokoa mpira golini kwake.
                                             Mchezaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya Chipukizi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.