Habari za Punde

PBZ Islamic Bank yafunguliwa Jengo la Bima Maisara.

PBZ Islamic Bank  Makao Makuu, yamefunguliwa katika jengo jipya la Bima Mpirani maisara, PBZ Islamic Banki imeaza leo kutowa huduma zake kwa wateja wake katika Mji wa Zanzibar, kwa kutowa huduma za Kibenki kupitia Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.