Habari za Punde

Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Akihutubia Mkutano wa Hadhara Mji Mkongwe.

Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis akihutubia katika mkutano wa Vijana wa CCM Mji Mkongwe katika viwanja vya Culture Vuga akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja hivyo.
         Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Sadifa Haji Juma akihutubia katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Hajin akimkabidhi Mwanachama mpya wa UVCCM wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Mji Mkongwe Vuga Culture.






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.