Habari za Punde

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt.2013

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, ukisomeka kama inavyoonekana katika bao la msimamo wa ligi hiyo.Katika michezo iliofanyika jana kati ya miembeni na Chipukizi imebadilisha msimamo huo kwa timu ya Miembeni ikiongoza kwa idadi ya magoli ikiwa mbele kwa magoli ya kufunga na kufungwa ikifuatiwa na timu yac Mtende Rangers ikiwa na point 21c sawa na miembeni, ilizozipata leo dhidi ya timu ya Fufuni kwa kuifunga bao moja kwa bila.

Timu chuoni ikiwa katika nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi 20 na timu ya KMKM ikishikilia nafasi ya Nne kwa kuwa na pointi 18,timun ya Polisi inashikilia nafasi ya tano. kwa kuwa na pointi 13 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.