Habari za Punde

DK Shein akutana na Mabalozi wa Uholanzi na China


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks,alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar kwa madhumuni ya kusalimiana na Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania ,anayefanyia kazi zake Zanzibar Xie Yunliang,alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania,anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang, alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.