Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Swissport katika uwanja wa
ndege wa kimataifa ya Julius Nyerere wakati akielekea kwenye ndege jioni
ya jana, Jumatatu, Oktoba 28, 2013, kwenda London, Uingereza, kwa ziara ya
kikazi ya siku nne ambako atahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali
Uwazi (Open Government) uliotishwa na Serikali ya Waziri Mkuu
wa Uingereza, Mheshimiwa David Cameroun. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe na Meneja wa Shirika la ndege la
Emirates uwanjani hapo Bw. Aboubakar Jumaa. (PICHA NA IKULU)
Samaki wa Ziwa Ikimba Kuongezeka Hadi Tani 15 Baada ya Kufungwa Miezi 6
-
Na Diana Byera,Bukoba
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na
Uvuvi imelifungua Ziwa Ikimba lililopo Halmashauri ya Buko...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment