Mchezaji wa timu ya Mtende Yahya Said, akimpita beki wa timu ya Chuoni Abdulrahaman Said, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mchezomuliofanyika uwanja wa Mao, timu hizo zimetoka sare ya 1--1
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Mtend na Chuoni
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Rangers mwenye jezi ya njano AliS alum, akimpita beki wa timu ya Chuoni.
Wachezaji wa timu ya Mtende Rengar wakisoma dua baada ya mchezo wao na timu ya Chuoni kumalizika kwa mchezohuo kwa sare ya 1--1, uliofanyika uwanja wa Mao.

No comments:
Post a Comment