Habari za Punde

Ni Uzembe wa Dereva au ni kutokuona? .

 Wananchi wakiliondoa gari la abiria lenye namba za usajili Z469 BZ, baada ya kupanda kidaraja cha kugawa njia ya kuingilia na kutokea katika barabara inayoelekea mkunazini mnadani. kama inavyoonekana picha wananchi wakiwa katika jitihada za kuiondoa katika kidaraja hicho.e

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.