Habari za Punde

Rais Dkt. Kikwete Amuapisha Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria, Katibu Mkuu Wizara ya Wizara ya Maji, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimona Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole Njolaay kuwa balozi, Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mhe Daniel Ole Njolaay baada ya kumuapisha kuwa balozi, Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji,Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti  kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Raphael Leyani Duluti baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Chakula na Ushirika, Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Tamika Mwakahesya kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi,  Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi,Ikulu jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti  kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini nigeria akifuatiwa na Mhe Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi.(PICHA NA IKULU) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.