Habari za Punde

Makamo wa Rais Dkt. Bilal Aifariji Familia ya MzeeMussa Samizi

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa marehemu, Mussa Samizi, Bi. Misingo Samizi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tegeta jijini Dar es Salaam, leo mchana. Marehemu Samizi alikuwa ni Mtumishi Mstaafu wa Umma,aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali. Marehemu anazikwa leo jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya marehemu, Mussa Samizi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tegete jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.