Habari za Punde

Mwakilishi wa SAVE The CHILDREN AAGA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bw. Mubarak Maman, alipofika kumuaga Rais leo,Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bw. Mubarak Maman,(katikati) alipofika kumuaga Rais leo baada ya kumaliza muda wake wa kazi.pia na Bibi Mali Nilsson,(kushoto)ambaye alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar,kushika nafasi ya kuwa mwakilishi mpya wa Shirika hilo la Save The Children,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.