Habari za Punde

Utowaji wa Habari Uko katika mazingira yote pale ukipata Nafasi.

Wanahabari wa afisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakiwa kwenye uwanja wa ndege Dubai kuelekea Seattle Marekani. Wakati mdogo walioupata waliutumia kurusha habari nyumbani. 

Kutoka kushoto ni ndugu Hassan Issa, mpiga picha wa mheshimiwa Makamo wa Pili wa Rais pamoja na mwandishi wake ndugu OthmanKhamis Ame, wakiwajibika na kazi yao kupasha habari nyumbani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.