Habari za Punde

Mjengo wa PBZ Chake Chake Pemba.

Moja ya manifaa ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuwasogezea karibu Wananchi huduma mbalimbali za Maendeleo na huduma za kijamii, moja ya huduma hizo ni huduma za kebenki zinapatikana kwa urahisi kwa kutumia Benki yetu ya Watu wa Zanzibar hutoa huduma kwa Wananchi wa Chakechake na sehemu nyengine kwa kuweza kupata za kuweka na kuchukwa fedha, Benki ya Watu wa Zanzibar hutoa huduma mbalimbali kwa wateja wake wa ndani ya Zanzibar na Nje ya Zanzibar hupata huduma hizo.

1 comment:

  1. hii kuonyesha majumba ya ghorofa ndio maendeleo? hivi hamjui vipimo vya maendeleo? kuwa na uhakika na huduma za msingi ndio mwanzo wa maendeleo kama vile maji, umeme , afya na elimu haya ya msingi yamekushindeni mmebakia kutuonyesha majumba ya ghorofa jee tuyafanyeje? yanazaa maji umeme na kutuletea afya na kutuongezea elimu kwa watoto wetu? nchi imekushindeni zamani ndugu zangu mnaiba na kujenga na kuhifadhi mapesa ya wananchi ugenini, miaka 50 bado mambo haya ya msingi yamekushindeni , hivi kweli wawakilishi wapo? mbona hawapingi haya mambo ya matumizi ya fedha za raia kwa vitu visivo manufaa kama kukarabati uwanja wwa mpira , kujenga mnara wa kumbukumbu , hivi ndugu wawakilishi mna akili na maarifa timamu?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.