Habari za Punde

Askofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar Michael Hafidh Akiongoza Ibada ya Krismas Zenj

 Askofo wa Anglikana Zanzibar Askofu Michael Hafidh, akiongoza Ibada ya Krismax,  kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo, iliofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Mkunazini Zanzibar na kuhudhuriwa na Waumini wa madhehebu hayo Visiwani Zanzibar na wageni mbalimbali.  
 Waumini wa Madhehebu ya Anglikana Zanzibar wakijumuika na waumini wenzao dunia kuadhimisha kwa kuzaliwa kwa Yesu


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.