Habari za Punde

Rais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akabidhiwa Rasim ya Pili ya Katiba Dar.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akikabidhiwa rasimu ya katiba mpya na Mwenyekiti wa Tume mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba, katika hafla
iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikabidhiwa rasimu ya katiba mpya na Mwenyekiti wa Tume mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Mohamed Gharib Bilali, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mizengo   Pinda, katika hafla
iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Anna Makinda, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimkabidhi kopi ya rasimu ya katiba mpya Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake baada ya kukabidhiwa Rasimu  ya katiba mpya, katika sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba,huku wakionesha fuaraha
wakati wa hafla ya makabidhiano ya Rasimu ya Katiba Mpya,katika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam leo,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,akiwemo na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,(wa pili kushoto) wakitafakari kabla ya zoezi la makabidhiano ya Rasimu ya Katiba mpya kuanza katika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam


Viongozi mbali mbali wa Serikali na Vyama vya Siasa wakitafakari baada ya zoezi la makabidhianoya rasimu ya katiba mpya kumalizika katika viwanja vya  Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Viongozi mbali mbali wa Serikali na Vyama vya Siasa wakitafakari baada ya zoezi la makabidhianoya rasimu ya katiba mpya kumalizika katika viwanja vya  Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed,akibadilishana mawazo na Waziri wa Afaya Juma Duni Haji,(katikati) na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo,Said Ali Mabarouk,kabla ya hafla ya sherehe za kukabidhi Rasimu ya Katiba Mpya kuanza leo katika viwanja vya  Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.