Habari za Punde

Fainali za Mchezo wa Bao na Karata kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.

Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mohammed Salum Ndimwa na  Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad, wakifuatilia mchezo wa Fainal wa Karata na Bao uliofanyika katika kikao cha Karata Jangombe jumba la vigae,ikiwa ni maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 50.
                                Mchezo wa fainali ukiendelea kwa upinzani mkubwa







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.