Habari za Punde

Jamaani Huu ni Uungwana


Jamani huu ni uungwana au ndio mambo ya kileo.
 Mdau huyu akiwa ampakia mtoto katika baskeli na kufanya kichwa chake kuwa usukani akiwa ndani ya kitenga akiendesha baskeli yake katika itaa ya chukwani.Haoni kama anahatarisha usalama wa mtoto huyu ikitokea ajali ukizingatia barabara anayotumia ni ya mawe usalama wake ni mdogo.    

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.