Habari za Punde

Makamu wa Piliwa Rais Balozi Seif Ahutubia Mkutano wa Jumuiya ya Walimu Wakuu Zanzibar.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiufungua Mkutano Mkuu wa kwanza wa Jumuiya ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari Zanzibar { JUWASEZA } uliofanyika katika ukumbi wa skuli ya Sekondari ya Lumumba.
 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bibi Mwanaid Saleh akielezea mikakati ya Wizara hiyo inayochukuwa katika kuwajengea mazingira mazuri ya kupanda daraja kwa Walimu Wakuu wa Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari  Zanzibar { JUWASEZA } Maalim Fadhil Hamada Mshamba akisoma risala kwenye mkutano  Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Skuli ya Sekondari ya Lumumba.

Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari za Tanzania Bara { TAHOSSA } waliopata mualiko wa kushiriki kwenye Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Walimu wakuu wa Skuli za Sekonmdari Zanzibar { JUWASEZA }.
  Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari Zanzibar { JUWASEZA } wakifuatilia matukio ya Ufunguzi wa Mkutano wao uliofunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif.
(Picha na Hassan Issa – OMPR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.