Habari za Punde

Rais Dk.Shein,azungumza na Wakimbiza Mwenge

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mbio za Mwenge  wa Uhuru Kitaifa mwaka 2013,Nd,Juma Ali Simai,(wa pili kulia) akifuatana na Zuwena Gulam Abdalla na Mgeni Saidi Mgeni,(kushoto) walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzona Rais
Kiongozi wa Mbio za Mwenge  wa Uhuru Kitaifa mwaka 2013,Nd,Juma Ali Simai,akijitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.].

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.