Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,Hassan Khatib,(kulia) alipotembelea banda la Ofisi ya faragha Ikulu,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,Salum Maulid Salum,(katikati) alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Afisa katika Banda la Ofisi ya makamo wa kwanza wa Rais Hamza Rijali,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Salum Kassim Ali,alipotembelea banda la ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono Maafisa katika banda la Tume ya Uchaguzi Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed akisalimiana na Maafsa katika banda la Ofisi ya Mufti wa Zanzibar,alipotembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(katikati) ni Katibu wa Mufti Fadhil Suleiman Soraga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Ofisi ya
Vitambulisho vya Taifa,wakati alipofungua Maonesho ya Miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika
shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Watoto hawakua nyuma kufika katika banda la Sober
House,wenye Makamo yao Kwamchin Mwanzo,katika kujionea maonesho ya
Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit
el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Wizara ya Kilimo,kuangalia
Miche mbali mbali ya kilimo,baada ya kuyafungua maonesho ya Miaka 50
ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras,
ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Mabanda ya Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika
shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,kama yanavyoonekana yakiwa
katika sura ya kupendeza
Washauri wa Rais na Viongozi mbali mbali wakiwa
katika Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana
viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za
Mapinduzi
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa Awasili Peramiho Kushiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Songea
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la
Songea, Damian Dallu alipowasili kwenye kilima cha Peramiho kuwa mgeni
rasmi ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment