Habari za Punde

Jumuiya ya Istiqaamah yatowa msaada kwa waathirika wa Micheweni

 Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni, kilivyounguwa kwa moto na kubakia Nyumba kuwa magofu.

Sheikh Khalfan Suleiman, akikabidhi bati kwa waathirika wa Janga hilo huko katika Shehia ya Shumba mjini na Maziwa Ng'ombe Micheweni.

Mmoja wa Viongozi wa Istiqaama, Habib Saleh Sultan, alieleza jambo kwa waathirika wa moto baada ya kukabidhi msaada huo.
 
Picha na Bakar Mussa-Pemba 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.