Habari za Punde

Kijiji cha Maziwa ya Ng'ombe, Wilaya ya Micheweni Pemba

Kijiji cha Maziwa Ng'ombe, Wilaya ya Micheweni Pemba, kilivyo na majumba yake ambayo yameezekwa kwa makuti na kuwa karibu sana  kupelekea kuwa ni hatari moto unapowaka .

Picha na Bakar Mussa-Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.