Mwenyekiti wa Chama cha ADC Mhe. Said Miraj akimnadi Mgombea wake kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakati wa mkutano wao wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika mwazoni mwa mwezi wa Febuari.
Mwenyekiti wa Chama cha ADC Taifa mHE. Said Miraj, akitowa Sera za Chama chake kwa Wananchi wa Kiembesamaki katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya Kisimambaazi.
Kazi mojo tu, kumpigia Kura mgombea wa ADC Mhe. Amani Ismail Rashid mgombea wa ADC ndivyo inavyoonekana Mwenyekiti wa ADC Taifa Mhe. Said Miraj akihutubia katika mkutano wa kampeni
.
Mgombea wa ADC jimbo la kiembesamaki akinadi sera za Chama chake wakati wa kuomba kura kwa Wananchi wa jimbo la kiembesamaki, akiwa katika mikutano yake ya kampeni ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Mhe, Juma Sanani, akihutubia katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya kisimambaazi kiembesamaki Zanzibar.
MWENYEKITI wa
Taifa wa Wanawake ADC, Ndg. Khadija Abdallah, akimuombea Kura
mgombea wake kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki, wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika katika viwanja vya kisimambaazi kiembesamaki.
VIONGOZI wa Chama cha ADC, wakimsikiliza Mgombea
wao Amani Ismail Rashid, akihutubia katika mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo
wa jimbo la kiembesamaki mkutano uliofanyika katika viwanja vya
Kisimambaazi
WANACHAMA wa
Chama cha ADC wakimshangilia Mgombea wao akiwahutubia na kuomba Kura kwa Wananchi wa kiembesamaki katika mkutano wa
kampeni uliofanyika katika viwanja vya
kisimambaazi
Kuomba mkopo ni haraka na rahisi njia ya kulipa bili andstart mradi wako mpya za fedha katika viwango vya riba ambayo ni zaidi ya 3% donow wasiliana nasi leo juu ya: trustfunds402@yahoo.com. Mkopo ni requiredto kutoa mikopo chini yetu ni $ 1,000.00 uchaguzi wa kukopa yoyote moneyI ni kuthibitishwa usajili na wakopeshaji Ukisoma, unaweza kuwasiliana na ustoday kama una. nia ya kupata mkopo, wasiliana na mimi habari formore kuhusu mchakato mkopo, mchakato kama mkopo hali termsand na jinsi mkopo itakuwa kuhamishiwa na wewe. Mimi needyour majibu ya haraka kama una nia.
ReplyDelete