Habari za Punde

Nafasi za Kazi - Maofisa uingizaji taarifa ( Data Entry Clerk)


MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA KWA MAOFISA UINGIZAJI TAARIFA AMBAO WATAFANYA KAZI ZA USAJILI KWA KUZINGATIA KANUNI NA TARATIBUZA AJIRA ZA MAMLAKA MUOMBAJI AWE TAYARI KUFANYA KAZI UNGUJA NA PEMBA.

SIFA


-AWE NA CHETI CHA KUZALIWA
-AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 35
-ASIWE MUAJIRIWA WA SMZ AU SMT
-AWE NA ELIMU YA CHETI AU STASHAHADA(DIPLOMA)KATIKA FANI YA UTAWALA/UONGOZI,SOCIOLOGIY,DEMOGRAPH, IT,COMPYUTA SCIENCE,RECORD MANAGEMENT,MASS COMUNICATION/JOUNALISM NA PROCUREMENT. KUTOKA KATIKA VYUO VINAVYOTAMBULIKA NA
-AWE NA UWEZO WA KUCHAPA MANENO 30 KWA DAKIKA
-MWENYE UJUZI NA MZOEFU WA KUTUMIA COMPYUTA ATAPEWA KIPAUMBELE

BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA
-CV,PICHA 2 ZA PAASPORT, PAMOJA NA VIVULI VYA VYETI.

-MAMLAKA ITAPOKEA MAOMBI 150
ANUANI

MAOMBI YOTE YATUMWE KWA NJIA YA POSTA AU KWA MKONO KWA ANUANI IFUATAYO
MKURUGENZI
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA
S.L.P 913
ZANZIBAR
MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI NI TAREHE 13/01/2014
MAWASILIANO YA EMAIL NA SIMU HAYARUHUSIWI
AHSANTENI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.