Habari za Punde

Taarab Maalum ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Bomani.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, wakiburudika na muziki wa Taraab wa kikundi cha Taifa.
            Msanii Mkongwe  wa muziki wa Taraab Zanzibar Iddi Suweid akitowa burudani katika onesho hilo
           Msanii Sihaba Juma akikosha nyoyo za Wapenzi wa Taraab  katika viwanja vya Bomani Zanzibar.
Wapenzi wa Taraab wakirusha roho katika onesho hilo maalum la kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Msanii Mkongwe wa Muziki wa Taraab Zanzibar Alanisa Saada Mohammed Bakari,akitowa burudani katika onesho la Taarab maalum ya kisherehekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Bomani Zanzibar. 
 Wasanii wa Kikundi cha Taifa cha Taraab wakitowa burudani katika viwanja vya historia vya Ziwani, wakati wa kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa wiki iliopita Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.