Habari za Punde

Rais Dkt. Samia azindua Mradi wa Chanzo na Kituo cha kutibu maji cha Butimba uliotekelezwa chini ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira ya Ziwa Victoria (LVWTSAN)

Taswira ya chanzo cha maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 20 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa maji Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.




Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.