Wananchi wakifuatilia magazeti mbambali kusoma vichwa vya habari vya magazeti hayo kupata kujuwa habari za ndani na je ya nchi ikizingatiwa wakati huu, Tukioa katika maandalizi ya Bunge Maalum la Katiba linalotarajiwa kuaza mwezi huu 18-2-2014 Mjini Dodoma.Wananchi wengi hupitia magazeiti kupati habari hizo.
JAFO ALITAKA TENA JIMBO LA KISARAWE,AREJESHA FOMU
-
*WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu ya
kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe*
*Dkt.Jafo amer...
11 hours ago
No comments:
Post a Comment