Habari za Punde

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Azungumza na Kamati ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika.



Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Kamati ya Uongozi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam leo.

Mshauri kutoka UNESCO Dr. Daniel Ndagala akiwaelezea wajumbe juu ya Umuhimu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam Leo. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.