Habari za Punde

Kikao cha NEC kikiendelea Dodoma

 Mwenyekiti  wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Nec katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya CCM Dodoma leo,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman Dodoma.]
 Wajumbe wa Kikao cha Halamashauri Kuu ya CCM Taifa Nec kilichoanza leo katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya CCM Dodoma,akiwemo (kulia) Makamo wa Rais wa Tanzania Dk.mohamed Gharib Bilali,Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda naVuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, ,[Picha na Ramadhan Othman Dodoma.]
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Nec  kutoka upande wa Zanzibar wakisikiliza mada zilizotolewa katika kikao hicho kilichoanza leo chini ya Mwenyekiti wake Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.jakaya Mrisho Kikwete Mjini Dodoma,[Picha na Ramadhan Othaman,Dodoma.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.