Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya IECO
ukanda wa Afrika, yenye makao yake makuu Beijing China iliyofunguliwa jijini
Dar es Salaam Tanzania, leo Feb 5, 2014 kwa ajili ya kuwakilisha nchi za
Afrika na tayari imeanza mchakato katika kukabiliana na magugu maji katika Ziwa
Viktoria sambamba na shughuli nyingine zinazolenga utunzaji mazingira na namna
ya kukabiliana na majanga yanayotokana na athari za tabia nchi. Kulia ni Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Sola Pawa ndogo
maalum kwa kuchajia simu na kusomea baada ya kufungua rasmi ofisi ya IECO
ukanda wa Afrika, yenye makao yake makuu Beijing China iliyofunguliwa jijini
Dar es Salaam Tanzania, leo Feb 5, 2014 kwa ajili ya kuwakilisha nchi za
Afrika. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna
Tibaijuka
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akikabidhiwa Nembo
ya Taasisi hiyo iliyofunguliwa jijini Dar es Salaam, leo
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,
akiagana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka,
baara ya uzinduzi huo
Makamu wa Rais
Dkt Bilal akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi na viongozi wa ofisi hiyo
baada ya kufunguliwa rasmi, eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment