Habari za Punde

Kaya zenye hali duni zaanza kusaidiwa kupitia mradi wa TASAF III shehia ya Ndagoni

 Mlengwa wa Kaya Maskini akiweka saini katika karatasi ya malipo, huko Ndagoni Pemba.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akimkabidhi Fedha Mlengwa wa Kaya Maskini  wa Shehia ya Ndagoni kama ni Ishara ya uzinduzi wa mradi huo.
Walengwa wa Mradi wa kuzinusuru Kaya Maskini katika Shehia ya Ndagoni, unaofadhiliwa na TASAF III, wakisubiri majina yao kwa kupatiwa malipo yao.

Picha na Bakar Mussa-Pemba
.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.