WANAUSHIRIKA wa kilimo cha chumvi kilichopo Chambani wilaya ya mkoani Pemba, wakifanya usafi kwenye
mabwawa yao (mabirika) ya kuzalishia chumvi, mara baada ya kuvuna hivi karibuni
(picha na Haji Nassor, Pemba)
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA CHAMA CHA MADEREVA BODA BODA NA BAJAJI
MKOANI DODOMA
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WAZIRI wa Madini, ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde
amezindua Saccos ya Chama cha Madereva Bodaboda...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment