Habari za Punde

Mafunzo ya siku tatu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru

 
Mratibu wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru (NTBs) Aboud Hassan Serenge akitoa maelezo kuhusu mafunzo ya siku tatu kwa washiriki wa mafunzo hayo yanayofanyika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.

 Mwakilishi wa TradeMark  Afrika Mashariki kupitia Tanzania Asaac Mtwale akizungumza na washiriki wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru katika Hoteli ya Grand Palace Malindi (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko  Julian Rafael.


Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Julian Rafael akifungua mafunzo ya siku tatu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo  hayo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Julian Rafael (hayupo pichan) katika Hoteli ya Grand Palace Malindi.

(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO ZANZIBAR.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.