Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa M/Magharibi Azindua Uhamasishaji wa Afya Bora kwa Watoto Zanzibar.

Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Abdalla Mwinyi akimlisha mtoto uji wenye                 Virutubisho kwenye sherehe ya uzinduzi wa uhamasishaji wa afya na lishe bora kwa watoto iliyofanyika jana kwenye uwanja wa Karakana nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Mkuu wa wilaya ya Mjini Unguja, Kanali mstaafu Abdi Mahamoud akimlisha mtoto uji enye virutubisho wakati wa sherehe za uhamasishaji wa afya na lishe bora kwa watoto iliyofanyika jana kwenye uwanja wa Karakana nje kidogo ya mji wa Zanzibar.(Picha na Martin Kabemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.