Habari za Punde

Jaji Mkuu Zanzibar Afungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Majaji na Mahakimu.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omarb Othman Makungu akifungua mafunzo ya Siku Nne ya Kuwaongezea Uwezo Majaji na Mahakimu wa Zanzibar . Mafunzo haya yanaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar kwa Udhamini wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa  (UNDP) kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ngd. Mdungu Makame.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ngd. Mdungu Makame, akizungumza wakati wa mafunzo hayo ya Kuwajengea Uwezo Majajin na Mahakimu wa Zanzibar  yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.