TAASISI YA ELIMU TANZANIA YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MTAALA ULIOBORESHWA
-
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaendelea kutoa elimu kwa wadau
waliojitokeza katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba
kuhusu maboresho yali...
3 hours ago
shivji kabisa kabisa , nakubaliana nawe , wewe huwezi kuwa sawa na akina lissu na jussa kwa sababu wao sio wanafiki kama wewe , na umejidhihirisha kuwa wewe pia ni mwanasiasa tena mwovu zaidi kuliko wanasiasa waliojitangaza , wewe ulijificha mpaka muda huu ndo umechomoza , too late my friend , tunajua mbichi na mbivu , maneno yako hayasaidii kitu chochote kuuhami muungano , kila kitu chenye mwanzo huwa na mwisho
ReplyDelete