Habari za Punde

Mdau mambo ya Ubuyu hayoooo.......

Watalii wakimsikiliza Mtembeza Watalii Zanzibar akitowa maelezo ya moja ya Vivutio vya watalii na wananchi wa Zenj Ubuyu ambao hupendwa sana, Watalii hao wamepata fursa ya kuuonja ubuyu huo ambao ulikuwa tayari umeshapikwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.