Habari za Punde

Operesheni ya kukagua Vyombo vya moto Zenj

Askari wa barabarani wakiwa katika zoezi la ukaguzi wa vyombo vya moto katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar kudhibiti uhalali wa vyombo hivyo kupata ruhusa ya kutembea barabarani baada ya kupasishwa na kuwa na bima.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.