Habari za Punde

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI CHIKAWE AKUTANA NA DK.SHEIN LEO

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo,(kushoto) Naibu Waziri Perera Ame Silima
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo,(kushoto) Naibu Waziri Perera Ame Silima,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.