Habari za Punde

Askari wa Usalama Barabarani

 Askari wa Usalama barabarani Zenj akiwa na derevya wa daladala akiwa amesimamisha daladala sehemu ambayo haina kituo na kusababisha msongamano wa magari katika eneo la darajanii,kama anavyoonekana akiwa kazini kwa hatua zaidi dhidi ya derevya huyu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.