Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika Mchakato wa Katiba Mpya.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiendelea kuwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiwapa somo wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiendelea kuzungumza.
Makamu Mwenyekiti UWT,Bi. Asha Bakari Makame akizungumza kwa msisitizo mkubwa na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.

Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar,Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza machache na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.

Vijana wa CCM, Fatma Juma Ramadhan (kushoto) na Halima Juma Hajj wakighani mashairi mazuri ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana (hayupo pichani).
Sehemu ya picha mbali mbali za wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba wakifuatilia Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Picha zote na Othman Michuzi
Kama kuwatukana muwatukane, kuwafukuza kwa kejeli bara na unguja, muwapige risasi na kuwatesa wakati wa uchaguzi halafu munajipeleka kutaka nini. Munye hapohapo halafu munye hapohapo. Ondokeni Banyamulenge.
ReplyDeleteNyinyi waandishi wa kucopy na kupaste mna tabu sana. Sasa mbona mitandao yote mmesema watu wengi ila hamtuonyeshi hao watu wengi zaidi ya picha nyingi za watu watatu watatu au ndio na nyinyi ni wasaka tonge wengine mlioko nje wa bunge.
ReplyDeleteHiii ndo siasa, inakwenda na wakati, utashii wa viongozi, ridhaa ya wananchi, gharama kwa mwenye uwezo, ila wanapokosana MADHARA KWA WOTE?.
ReplyDeleteAnonymous Umezungumza ukweli..
ReplyDeleteMimi nina wasi wasi na hili gazeti la Kakaetu Ndugu Othman Mapara, limekua zikipamba mikutano ya CCM na ikifika ile ya Ukawa utaona ameonyesha picha pale mbele ya uso tu... Halafu kila habari watu waliofurika Pemba... Hivo nyinyi hamuwajuwi Wapemba Nyie kwa Shindi zao...
Wanaweza kufurika kila mkutano lakini siku ya kura wanajua nani wampe kura.. Hata hivo mimi sijaona kwamba watu hao ni wengi kuliko wa Ukawa... Na naona sasa CCM iko hadharani inataka Serikali 1 ...Ahsanteni Wapemba kwakuiunga Mkono CCM na Serikali yake 1... Ikiwa Leo hii Zanzibar ni Sehemu ya Muungano na inagaiwa asilimia 4.0% ya misaada ambayo inaletwa 100%.. Na nyinyi Wapemba hamuna hata vitabu au Library katika miji yenu..
Jee Pemba ikiwa Kijiji cha Tanganyika katika Mkoa wa Pwani , kweli mutakumbukwa nyinyi..?
Watanzania tuweni macho na wana siasa wasio penda muungano ,hivi tujiulize ni Waznzibar wangapi wako bara na wanarasilimali yao ngapi ziko bara.hivi huu Uzanzibar , Utanganyika utatufaa nini? Kidole kimoja haki vunji chawa, umoja ni nguvu utengano udhaifu.
ReplyDeletevuai ali vuai ww ni kiongozi nnayekutabiria kushika nyazfa kubwa nchi hii kwa nn unawaachia watoto wadogo wanakiharibia sifa chama cha mapinduzi shaka sadifa hutuba zao ni matusi tunasimangwa huku mitaani kwa vijana wako waambie wajenge hoja sio matusi
ReplyDeletewaache wapige kelele , madebe matupu hayaachi .... pemba na unguja mara hii hawapati kitu labda waibe kura zetu kama wanavyofanya kila uchaguzi , lakini mara hii tutazilinda kura zetu kwa damu yetu hilo wajitayarishe nalo , na wale ZEC wajitayarishe vilivyo wakituibia kura zetu ni chinja chinja mara hii hakuna kingine , mwenyezi mungu kazibadilisha sura zao kwa unafiki lakini bao hawajitizami kwenye kioo
ReplyDeleteMi yangu macho na masikio yanasikia! nadhani watanzania tunasikia tu: MACHAFUKO AU WAKIMBIZI lakini hayajatufika. Ila ipo siku nasema tena ipo siku, "TUTAJUTA". Tuendeleeni tu kufuatisha wana siasa.
Delete