Habari za Punde

Balozi Seif akutana na Mkurugenzi wa Huawei

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni  ya Huawei Technologies Nchini Tanzania Bwana Bruce Zhang akimuonyesha Balozi Seif mpango kazi wa Kampuni yake katika mfumo wa teknolojia ya kisasa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni  ya mtandao wa Teknolojia ya kisasa ya China   { Huawei Techonogies } Nchini Tanzania Bwana Bruce Zhang hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni  ya Huawei Technologies Nchini Tanzania Bwana Bruce Zhang akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Nyuma yake aliyevaa shati nyeupe ni Mwakilishi wa Huawei Technologies Ofisi ya  Zanzibar Bwana Peter Jiang.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kulia akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa juu wa Kampuni  ya Huawei Technologies Nchini Tanzania ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Bwana Bruce Zhang aliyepo kati kati yao.Kulia yao ni Mwakilishi wa Huawei Technologies Ofisi ya  Zanzibar Bwana Peter Jiang.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.