Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Waziri Mkuu wa China Jijini Abuja.

Rais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo oembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika unaofanyika jijini Abuja, Nigeria,
Rais wa Januhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang walipokuwa katika Mkutano wa siku tatu wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika unaofanyika jijini Abuja, Nigeria,
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika unaofanyika jijini Abuja, Nigeria,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.